Akiwa ameteuliwa mapema mwezi Januari kuongoza Ofisi ya Masuala ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Nick Checker amezuru Mali siku ya Jumatatu, Februari 2. Wakati wa ziara yake, ...
Kundi la itikadi kali nchini Mali la JNIM limegeuka kuwa adui mkubwa wa serikali ya kijeshi nchini humo, hasa baada ya kuendeleza mashambulizi dhidi ya misafara ya magari ya mafuta na kuuhujumu uchumi ...
Katika taarifa iliyotolewa usiku wa Aprili 30 kuamkia Mei 1, JNIM inajaribu zaidi kuliko hapo awali kujiweka kama mdau wa kisiasa, ikitoa wito kwa "vikosi vyote muhimu vya taifa la Mali" kupindua ...
Serikali ya Mali imetupilia mbali wazo la kuzungumza na makundi iliyoyataja kuwa ya kigaidi ambayo yanaendeleza uasi katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali Abdoulaye Diop ...
Katika kipindi cha nusu karne iliyopita, baadhi ya mali na majengo yanayomilikiwa na serikali ya Iran au taasisi zake tanzu nje ya nchi, hususan katika nchi za Magharibi, zimekuwa kitovu cha migogoro ...
Onyo: Simulizi hii ina maelezo ya mateso na unyanyasaji wa kimwili. Mfanyabiashara mmoja ameiambia BBC jinsi mamluki wa Urusi wanaopambana na wanajihadi nchini Mali walivyotekeleza mauaji ya kinyama ...