Mashabiki wa Simba wameanza kujinasibu kuwa safari hii ni ya kufuta uteja, wakikumbushia maumivu ya kupoteza michezo sita mfululizo dhidi ya watani wao wa jadi na mashabiki wa Yanga nao wanaonekana ...
Dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga nchini Tanzania imeendelea kuthibitisha ukubwa wake, safari hii ikichezwa katika mazingira ya kipekee, kwenye uwanja wa kambini ama jeshini, Meja Jenerali ...